Sheys Africa Group yapewa tuzo ya kampuni bora ya madawa nchini Tanzania

Qkweli! Kampuni ya Sheys Africa Group inayo husika na utengenezaji wa madawa big up sana kwao kwa mpango mzima wa afya zetu, Hivi ndivyo Dr Sanjay Advani, Director & CEO wa Shelys akipokea tuzo ya kampuni bora ya Madawa nchini tanzania toka kwa Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.