Qkweli! Serikali ya Nigeria inastahili kuigwa kwa kuukabili ugonjwa wa EBOLA
Qkweli! Serikali ya Nigeria inastahili pongezi kwa kuweza kukabiliana na hatimaye kushinda kasheshe zaa ugonjwa hatari wa EBOLA. Si ndio Qkweli dunia nzima inatakiwa kujifunza kutoka kwa Nigeria na hatimaye kushiishinda hii balaa.