Wizi Khalifa amdiss Amber Rose katika Nyimbo yake mpya

Qkweli! Wiz Khalifa ikiwa kamdiss aliyekua wife wake Amber Rose katika mistari ya nyimbo yake mpya  P**** Overrated by Mike WiLL Made It. Mie sielewi !!??